# Sentensi unganishi Hii ni tukio la mwisho kwenye hadithi. Inahusu Paulo na Sila kuwachiwa kutoka gerezani # ilipokuwa mchana Hii ni mwanzo wa habari nyingine # walituma ujumbe "kutuma ujumbe" au Kutuma amri" # waruhu hao wanaume "waruhusu hao wanaume" au "waruhusu hao wanaume waende" # tokeni nje "tokeni nje ya gereza"