# ili kujiuwa Mlinzi wa gereza alichagua kujiuwa kuliko kukabiliana na aina ya mateso yatakayo mpata kwa kuwaruhusu wafungwa kutoroka. # wote tuko mahali hapa Neno "wote" linajumuisha Paulo, Sila na wafungwa wengine wote.