# walipo kuwa wakienda "Walipo kuwa" hii inamaanisha Paulo, Sila na Timotheo. # ili kuyatii 'Kwa washiriki wa kanisa kutii' au 'kwa waumini kutii' # yaliandikwa na mitume na wazee huko Yerusalemu "ambayo imeandikwa na mitume na wazee huko Yerusalemu" # Makanisa yakaimarishwa "Paulo , Sila na Timotheo waliimarisha makanisa"