# Sentensi ungsnishi Hii sehemu ya hadithi ni kuhusu safari ya Paulo na Sila. Hapa Timotheo alitambuisha kwenye hadithi na kujiunga na Paulo na Sila. Mstari wa 1 na 2 hutoa taarifa za msingi kuhusu Timotheo # Tazama Neno "Tazama" inatutaadharisha juu ya mtu mpya katika simulizi. Lugha yako huenda ikawa na njia ya kufanya hivyo. # Kijana aliyezaliwa na mama wa Kiyahudi ambaye ni muumini "Kijana aliyezaliwa na mama wa Kiyahudi ambaye anamwamini Kristo. # Aliongelewa vizuri "Timotheo alikuwa na tabia nzuri" au "Walioamini walisema mambo mazuri juu ya Timotheo" # Paulo alimtaka ili asafiri naye, hivyo akamchukua "Paulo alimtaka Timotheo asafiri naye hivyo Paulo akamchukua" maneno mengine kama (yeye, yake) yanamrejea Timotheo. # baba yake ni Mgiriki Kama Mgiriki, baba yake Timotheo hangeweza binafsi kumtahiri Timotheo hivyo Paul alimtahiri. Tohara mara nyingi ilifanywa na Mwalimu wa Kiyahudi, kama vile Paulo.