# Maelezo ya jumla Habari ya Paulo na Barnaba Ikonia inaendelea. # Ikatokea katika Ikonia ya kwamba Maana hapa yawezekana kuwa 1) "ilitokea Ikonia ya kwamba" au 2) "Kama kawaida ndani ya Ikonia" # alizungumza kwa namna ambayo "alizungumza kwa namna ambayo." Inaweza kusaidia kutamka kwamba walizungumza ujumbe kuhusu Yesu. "walizungumza ujumbe kuhusu Yesu kwa nguvu" # Wayahudi waliokuwa hawatii Hii inalenga kikundi cha Wayahudi ambao hawakumuamini ujumbe wa Yesu. # kutikisa akili za Wayunani kusababisha Wayunani kuwa na hasira inazungumzwa kana kwamba maji yaliyotulia kuchafuliwa. # akili hapa neno "akili" linamaanisha watu # ndugu hapa "ndugu" linamaanisha Paulo na Barnaba na waumini wapya.