# Hii ndiyo sababu kasema pia katika zaburi nyingine Wasikilizaji wa Paulo wangeweza kufahamu kuwa Zaburi hii ilikuwa inamtaja Masihi. # Anasema pia "Daudi pia alisema." Daudi ni mwandishi wa Zaburi ya 16 ambapo nukuu hii imechukuliwa. # 'Hautaruhusu mtakatifu wako kuuona uozo.' Neno "kuona uozo" ni neno linalofanana na "kuharibika." Hutaruhusu mwili wa mtakatifu wako kuharibika." # Hutaruhusu Hapa Daudi anamwambia Mungu. # Katika kizazi chake "Katika kipindi cha uhai wake" # kutumika katika nia ya Mungu "alifanya kile alichomtaka Mungu kufanya" # alilala, Hii ilikuwa lugha laini iliyokwa inazungumzia kifo. # alilazwa pamoja na baba zake "Alizikwa pamoja na baba zake waliokuwa wamekufa" # aliuona uaharibifu "Kuona uharibifu" ni kusema kuwa "Mwili wake uliharibiwa" # Lakini aliyefufuliwa "Lakini Yesu ambaye" # hakuuona uharibifu "Yesu hakuona uharibifu"