# Maelezo ya jumla Viwakilishi vya majina, vinawakilisha Wayahudi na Viongozi wa dini zao katika Yerusalemu. # hawakupata sababu nzuri kwa kifo ndani yake "Hawakupata sababu zenye maana kwanini Yesu alipaswa auawe" # Walimwomba Pilato amwue Neno "Kumwomba" ni neno lenye nguvu likimaanisha "Kutaka, kulazimisha, kudai" # Walipomaliza mambo yote yaliyoandikwa kuhusu yeye "Wakati walipomtendea Yesu, kila kitu walichokuwa wamekisema manabii kilitimia. # walimshusha kutoka mtini "Walimwua Yesu na kuuondoa mwili wake kutoka kwenye msalaba baada ya kufa." # kutoka mtini "Kutoka msalabani"