# Maelezo ya jumla Luka anaelezea historia kuhusu unabii huko Antiokia. # Sasa Neno hili linatumika kuweka kituo katika simlizi hiyo kuu. # manabii wakashuka kutoka Yerusalemu mpaka Antiokia Yerusalemu ilikuwa juu zaidi ya Antiokia, hivyo ilikues kawaida ya Waisraeli kusema wanapanda kwenda Yerusalemu # Agabo ndilo jina lake "Jina lake alikuwa akiitwa Agabo # akiashiriwa na Roho "Roho Mtakatifu alimwezesha kutoa unabii" # njaa kali itatokea "Upungufu mkubwa wa chakula utatokea" # Juu ya dunia yote Akimaanisha, "Katika dola yote ya Kirumi" # wakati wa siku za Klaudio. Wasikilizaji wa Luka wangejua kwamba Klaudio alikuwa Mtawala wa Rumi wakati huo.