# Maelezo ya jumla Luka anazungumzia kuhusu Barnaba na Sauli. # Kwenda Tarso "Alitoka kuelekea Tarso" # kumwona Sauli...Alipompata, akamleta Antiokia Inaonyesha Barnaba alichukua muda na bidii kumtwaa Sauli kutoka Tarso. # Ikawa neno linaonyesha mwanzo wa tukio jingime katika simlizi hiyo. # wakakusanyika pamoja na kanisa "Barnaba na Sauli wakakusanyika pamoja na kanisa." # Na wanafunzi wakaitwa wakristo kwa mara ya kwanza Inamaanisha kuwa watu wengine walikuwa wakiwaita waumini kwa jina hili. "Watu wa Antiokia waliwaita wanafunzi wakristo" # Kwa mara ya kwanza "Kwa mara ya kwanza huko Antiokia"