# Sentensi unganishi Petro anamalizia hotuba yake aliyokuwa ameianza katika sura 11:4 kwa Wayahudi juu ya maono yaliyotokea katika nyumba ya Korinerio. # Pia kama Mungu ametoa zawadi... mimi ni nani, kwamba naweza kumpinga Mungu? Petro anatumia swali hilikueleza kuwa yeye alikuwa anafanya vile kwa kumtii Mungu. # Zawadi sawa Petro anaelezea zawadi ya Roho Mtakatifu. # Waliposikia mambo haya, hawakurudisha, "Walinyamaza, hawakuweza tena kumshambulia Petro. # Mungu ametoa toba kwa ajili ya uzima. "Ametoa toba kwa wote kuwaongoza katika uzima wa milele"