# Sentensi unganishi Petro anamalizia hotuba yake katika nyumba ya Kornerio aliyokuwa ameianza. # kuwa huyu ndiye ambaye Mungu alimchagua Mungu alikuwa amemchagua Yesu Kristo. # walio hai na waliokufa Anamaanisha, " Watu walio hai na watu waliokwisha kufa # Katika yeye manabii wote washuhudie "Manabii wote walishuhudia habari za Yesu". # kila anayeamini katika yeye atapokea msamaha wa dhambi Mungu atasamehe dhambi za kila mmoja anayemwamini Yesu kwasababu ya kile Yesu ametenda. # kupitia jina lake Neno "jina" Linaelezea matendo ya Yesu. Jina lake linamaanisha Mungu huokoa.