# Siku iliyofuata Hii ilikuwa ni siku moja baada ya wao kuondoka Yafa. Safari ya kwenda Kaisaria ilikuwa ndefu zaidi ya siku moja. # Kornelio alikuwa akiwasubiri Kornerio alikuwa akiwatarajia. Akiwa amewaita pamoja ndugu zake na marafiki zake wa karibu