# Wakasema "Wale wajumbe watatu kutoka kwa Kornelio wakasema kwa Petro" # hupenda kumwabudu Mungu Neno "Kumwabudu" Lina maana ya nia ya ndani kuheshimu na kicho cha kweli. # taifa lote la kiyahudi Hii ni mfano kwa ajili ya tabia nzuri ya Kornelio ilikuwa inajulikana vizuri kwa watu wengi wa Kiyahudi. # Petro akawakaribisha kuingia ndani na kukaa pamoja naye Safari ya kuelekea Kaisaria ilikuwa ndefu sana kwa wao kuanza muda wa mchana. # kukaa pamoja naye "Wajumbe wa Kornerio wakawa wageni wake" # ndugu wachache kutoka Yafa Hii inaelezea juu ya waumini waliokuwa wakiishi Yafa.