# Akamuona huko mtu mmoja Petro hakuwa makini kumtafuta mtu aliyepooza lakini ilimtokea. "Hapo Petro akakutana na mtu." # mtu mmoja jina lake Ainea Hapa anatambulisha Ainea kama mtu mpya katika simlizi. # Ambaye amekuwa kitandani ...amepooza Hii ni historia ya nyuma kuhusu Ainea # Aliyepooza hana uwezo wa kutembea, pengine hakuwa na uwezo wa kujisogeza chini ya kiuno # jitandikie kitanda chako "jitwike godoro lako" # kila mtu aliyekaa Lida Sharon Hii inaimarisha maana " watu wengi walioishi maeneo ya Lida na Sharoni. # Wakamwona yule mtu. Inaweza kuwa msaada kuelezea kuwa walimwona mtu akiwa mtu ameponywa. "Walimwona mtu ambaye Petro alikuwa amemponya".