# Sentensi unganishi Simulizi inarudi nyuma kwa Sauli na wokovu wake. # Maelezo ya jumla Mistari hii inatupatia picha kwa kutujulisha kuwa Sauli alikuwa akiendelea na kazi zake tangu Stefano alipouawa kwa kupondwa kwa mawe. # kuendelea kuongea maneno ya mauaji dhidi ya wanafunzi Kiwakilishi cha jina "mauaji" linaweza tafsiriwa kama kitendo: aliendelea kuongelea vitisho, hata kwa kuwaua wanafunzi. # kwa ajili ya masinagogi Inazungumzia juu ya watu katika Sinagogi. "Kwa watu wa Sinagogi" au "Kwa viongozi wa Sinagogi" # ili kwamba akimpata Kama akimpate mtu yeyote # aliye katika Njia ile "anayeyafuata mafundisho ya Yesu" # Anaweza akawapeleka Yerusalemu Anaweza akawapeleka kama wafungwa.' "ili viongozi wa wayahudi wapate kuwahukumu na kuwasulubisha".