# Nakuomba "Tafadhari niambie" # ni kuhusu yeye, au za mtu mwingine" "Je, Ni nabii anazungumzia habari zake mwenyewe, au anamzungumzia mtu mwingine" # katika Isaya Inamaanisha maandiko ya Nabii Isaya. # Kumhubiria kuhusu Yesu "kufundisha habari njema kuhusu Yesu kwa matoashi'