# Sentensi unganishi Huu ni mwanzo wa simulizi kuhusu Filipo na mwanaume kutoka Ethiopia. # Maelezo ya jumla Mstari wa 27 unaonyesha taarifa za mwanaume kutoka Ethiopia. # njia iendayo chini ya Yerusalemu kuelekea Gaza "Iendayo chini" hapa linatumika kwasababu Yerusalemu iko juu zaidi ya Gaza # Sasa Neno "sasa" ni neno la kiunganishi cha simulizi. # Njia hii iko katika jangwa Wasomi wengi wanaamini Luka aliongeza mkazo wa kuelezea eneo ambalo Filipo angeweza kupitia. # Tazama Neno "tazama" linatutahadharisha kwa mtu mpya katika simulizi. Lugha yako inaweza ikawa njia ya kufanya hivi. Kingereza linatumia "Palikuwa na mtu ambaye alikuwa." # Towashi Mkazo"towashi" hii ni kwamba, Mwethiopia aliyekuwa katika ofisi za serikali kuu. # Kandake Hiki ni cheo kwa malkia wa Ethiopia . Ni sawa na jinsi "farao" alitumika kuwa mfalme wa Misri. # Kumsoma nabii Isaya Hili ni agano la kale la Isaya.