# Maelezo ya jumla Jamii iliyokuwa inamsikiliza Stefani ilikuwa inajua kuwa Musa alikuwa amemwoa mwanamke wa kimidiani alipokimbia kutoka Misri. # Baada ya kusikia haya Musa alipotambua kuwa Waisraeli wanajua kuwa alikuwa amemwua Mmisri siku moja kabla. # Baada ya miaka arobaini kupita Wakati miaka arobaini imepita baada ya Musa kutoka Misri. # malaika akamtokea Stefano alikuwa akiongea na kungi ambalo lilijua pia kuwa Mungu aliongea na Musa kwa njia ya Malaika.