# Sentensi unganishi: Taarifa za nyuma zilizoanza zinaendelea katika mstari wa 10. # Hawakuweza kushindana "Wasingeweza kuthibitisha uongo kwa kile Stefano alichosema" # Waliwashawishi kwa siri Kwa kuwa jambo lilifanywa kwa siri, inathibitisha kwamba ushuhuda wao ulikuwa wa uongo. # Maneno ya kukufuru "maneno kinyume na sheria ya Mungu na Musa"