# Matendo 5 Maelezo kwa jumla ### Dhana maalum katika sura hii #### "Shetani amekujaza moyo wako kumwambia uongo Roho Mtakatifu" Hakuna anayejua kwa ukamilifu iwapo Anania na Safira walikuwa Wakristo wa ukweli walipoamua kudangaya kuhusu kipande cha ardhi walichokiuza (Matendo 5:1-10), kwa maana Luka hataji swala hili. Anasema tu kwamba walikuwa "miongoni mwa walioamini" (Luke 4:32).Hata hivyo, Petero alifahamu kwamba walidanganya waumini, na alijua kwamba walikuwa wamsikiliza na kumtii shetani. Walipowadanganya waumini, pia walimdanganya Roho Mtakatifu kwa sababu anaishi ndani ya Waumini. #### Gereza "Gereza ya uma" ambamo Baraza la Wayahudi walimueka ndani Petero (Matendo 5:18) huenda lilikuwa gereza. ## Links: * __[Acts 05:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../04/intro.md) | [>>](../06/intro.md)__