# Sentensi unganishi: Huu ni mwisho wa sehemu ya habari kuhusu Anania na Safira. # Inakuwaje kwamba mmepatana kwa pamoja kumjaribu Roho wa Bwana? Petro aliuliza hili kuonyesha hawa wawili kwamba walikubaliana kutenda dhambi kwa pamoja. "Mmekubaliana kwa pamoja kumjaribu Roho!" # miguu ya wale waliomzika mme wako Hapa "Miguu" inamaanisha wanaume waliomzika Anania. # akadondoka miguuni pa Petro Inamaanisha Safira alipokufa alidondoka mbele yamiguu ya Petro # Akapumua pumzi ya mwisho Hii ni namna ya kusema kwamba "alikufa."