# mke wake aliingia ndani Mke wa Anania naye aliingia ndani ya nyumba walimokuwa mitume. # Kilichokuwa kimetokea "Kwamba mme wake alikuwa amekufa" # kwa thamani hiyo "Kwa thamani hiyo" linalenga kuthibitisha kama Anania alileta fedha kwa mitume yenye thamani sawa na thamani ya shamba lililouzwa.