# Sentensi unganishi Waumini wanaendelea na maombi. # Katika mji huu "Katika Yerusalemu" # mtumishi wako mtakatifu Yesu "Yesu anayekutumikia kwa uaminifu" # kufanya yote ambayo mkono wako na mapenzi yako yaliyaamuru Neno "Mkono" limetumika kwa maana ya nguvu za Mungu.