# Wakatambua kwamba alikuwa ni yule mtu Kila mmoja alishuhudia kuwa aliyeponywa ndiye alikuwa mtu yule. # Lango la uzuri Hili lilikuwa moja ya jina la milango ya kuingia kwenye eneo la hekalu. # walijawa na mshangao na kustaajabu Watu walishikwa na mshangao mkubwa.