# Sentensi unganisha Petro anaendelea na hoja yake kwa Wayahudi aliyoianza # sikieni maneno haya "Sikilizeni kwa yale ninayotaka kuwaambia" # aliyethibitishwa na Mungu kwenu kwa matendo ya uweza na maajabu, na ishara Inamaanisha Mungu anathibitisha kuwa alimchagua Yesu kwa huduma yake ya kudhihirisha matendo makuu ya miujiza. # mwanadamu aliyethibitishwa na Mungu kwenu "Mtu ambaye Mungu alimdhibitisha kwenu" # Kwa sababu ya mpango uliokusudiwa tangu mwanzo, na maarifa ya Mungu Inamaanisha kuwa, Mungu alipanga na kujua tangu zamani kwamba yangetokea nyakati za Yesu # ambaye Mungu alimwinua Maana yaweza kuwa: 1) "Mlimtia Yesu katika mikono ya maadui" au 2) Yuda alimsaliti Yesu kwenu" # kwa mikono ya watu wahalifu, mlimsulibisha na kumuua Ingawa watu wahalifu kweli walimsulibisha Yesu, hapa Petro anawashitaki kundi lote kwa kumwua kwasababu walikuwa wamekusudia Yesu auawe. # akauondoa uchungu wa mauti kwake, kwasababu haikuwezekana kwake kumilikiwa na huo. etro anazungumzia kifo kama mfano wa binadamu anayeshikilia wafungwa hara kusababisha mateso makali.