# 2 Timotheo 03 Maelezo kwa jumla ### Muundo na Mpangilio "Siku za mwisho" inaweza kuwa na maana ya hapo mbeleni kabla ya Kristo kurudi. Kwa hivyo Paulo anatabiri katika mistari 1-9 na 13 kuhusu siku hizo. "Siku za mwisho" pia inaeza maanisha kipindi cha Ukristo (pamoja na wakati wa Paulo).Kwa hivyo anayofundisha Paulo kuhusu mateso yanahusu Wakristo wote. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/prophet and rc://en/tw/dict/bible/kt/lastday) ## Links: * __[2 Timothy 03:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../02/intro.md) | [>>](../04/intro.md)__