# Maelezo ya Jumla: Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea # fuatia adui zangu "kufukuza adui zangu" # Niliwararua na kuwasambaratisha Daudi anajilinganisha na hayawani wakali. # chini ya miguu yangu "Miguu" hapa inamaanisha nguvu na kumiliki ushindi juu ya adui zake.