# Basi Neno hili limetumika hapa kuonesha mwisho wa habari na kuana kwa sehemu nyingine katika habari. # na kuinua macho yake Hapa mlinzi kuona jambo inazungumzwa kana kwamba aliinua macho yake. # Anahabari kinywani Hapa mfalme anaongelea mtu mwenye taarifa kama vile taarifa ilikuwa ni kitu kilichokaa kinywani mwake.