# Yehonadabu Hili ni jina la mwanaume # Kujifanya kuugua Kuwa na mwonekano wa kuwa mgonjwa # na kula kutoka mkononi mwake... niweze kula mkononi mwake Hili ni ombi lake ili ahudumiwe chakula peke yake. # kwa ugonjwa wangu mbele yangu Chakula si kwa ajili ya ugonjwa wake, bali ni kwa ajili yake kwa sababu ni mgonjwa. Kifungu "mbele yangu" ni ombi kwa kuandaa chakula mbele yake.