# alikula na kunywa mbele yake Uria alikula na kunywa na Daudi # chini katika nyumba yake Maana pendekezwa hapa kwa neno "chini" 1) nyumba ya Uria ilikuwa chini ya ile ya Daudi. 2) nyumba ya Uria ilikuwa na umuhimu mdogo kuliko ile ya Daudi