# fanya lililomo moyoni mwako Hapa "moyo" unawakilisha akili. Yaani: "fanya unalofikiri linapaswa kufanyika" # maana Yahwe yupo nawe Hapa "pamoja nawe" linamaanisha Mungu anamsaidia na kumbariki Daudi. # neno la Yahwe lilikuja Hii ni aina ya usemi kumaanisha kwamba Yahwe alisema. "Yahwe alisema ujumbe" # neno la Yahwe Hapa "neno" linawakilisha ujumbe wa Yahwe # na akasema, "Nenda na umwambie Daudi mtumishi wangu, 'Hivi ndivyo asemavyo Yahwe: Je wewe utanijengea nyumba ya kuishi? Hii ina nukuu ndani ya nukuu. Yaani: "na kusema, "Nenda na umuulize Daudi kama anadhani atakuwa ndiye wa kunijengea nyumba nitakayoishi." # Je wewe utanijengea nyumba ya kuishi? Yahwe anatumia nukuu kusisitiza kwamba Daudi hatajenga nyumba kwa ajili ya Yahwe. Nukuu hii inaweza kufasiriwa kama taarifa. Yaani: "Hautanijengea nyumba ya kuishi" # kunijengea nyumba Hapa nyumba inamaanisha hekalu. Katika 7:11 Yahwe atasema kwamba atamjengea Daudi nyumba. Pale "nyumba" inamaanisha familia.