# anatafuta maisha yako usemi unamaanisha "anataka kukuua." # Kama aishivyo Yahwe Hii ni kati ya nadhiri zenye nguvu Daudi alizoziapa, kama ambavyo Yahwe ni shahidi. Yaani: "Naapa kwa uhai wa Yahwe" # aliyeniuokoa uhai wangu "Uhai" hapa unarejea kwa Daudi mwenyewe. Yaani "aliyeniokoa"