# Kwa nini nikupige hata chini Swali hili lisiloitaji jibu linatumika kumwonya Asaheli hatari iliyomkabili. "Kupiga hadi chini" ni njia laini ya kusema "kuuwa." Yaani "sitamani kukuuwa." # Jinsi gani basi ningeweza kumtazama usoni Yoabu, nduguyo? Swali hili lisilohitaji jibu linasisitiza kwamba Abneri hapendi kupigana na kumwua Asaheli kwa sababu ingeharibu uhusiano wake na Yoabu. Hapa "kuinua uso wangu kwa Yoabu" inamaanisha angekuwa na aibu sana kumtazama Yoabu. # geuka upande Hii inamaanisha "kuacha kumfuatia" # sehemu ya mwisho ya mkiki wake Hii inaonesha mpini, ambayo siyo kali au kuweza kuchoma kitu. Inaweza kuwa kwamba Abneri alikuwa akijaribu kumzuia Asaheli asimfuatie, na hakukusudia kumwua.