# nyumba ya Yuda Hapa ''nyumba" imetumika kumaanisha "kabila" # nyumba ya Yuda ilimfuata Daudi Kutii utawala wa Daudi kunaoneshwa kama kumfuata. Yaani "kabila la Yuda walimtii Daudi kama mfalme wao"