# Watu hawa ni kama chemichemi zisizo na maji Kama vile chemichemi zilizokauka na hazitoi maji kwa ajili ya maisha ya kawaida, vivyo hivyo mafundisho yao hayawaongozi watu katka maisha ya kiroho. Ni eneo la uongo kuwafariji waatu, kisima kikavu # Ni kama mawingu yanayotoweshwa na upepo Mawingi mengine hubeba mvua. Mvua hii huleta maji yanayokuza au maji yagharikishayo. Hawa watu ni kama hayo mawingu yanayobeba uharibifu. # Huongea kwa majivuno matupu Hotuba zao ni za kujivuna zisizo na maana. # Huangusha watu kwa tamaa ya mwili Wanawavuta watu ili waingie katika dhambi ya mwili na matendo ya anasa. # Huwaahidi watu uhuru wakati waowenyewe ni watumwa wa dhambi ya ufisadi. Huahidi uhuru wa uongo, uhuru unaowapeleka watu kutendda dhambi. huu ni utumwa wa dhambi. # Maana mwanadamu hufanywa kuwa mtumwa kile kinachmtawala Mwanadamu hufanya kwa tamaa mabo yale anayopungukiwa kiasi # Huwalaghai watu wanaojaribu kuwakimbia wale waishio katika ukosji Hujaribu kuwaangamiza watu ambao ni wapya katika imani.