# Wameiacha njia ya kweli, wamepotoka na wamefuata... "walimu wa uongo .wameiacha...wamepotoka..wamefuata". Walimu wa uongo wamekataa kumtii Mungu kwa kukataa kilicho sahihi # aliyependa kupata malipo yasiyo haki alipokokea malipo ya anasa na yenye matendo ya dhambi # Lakini alikemwa kwa ajili ya ukosaji wake alionywa vikali kwa kutokutii kwake # alizuia wazimuwa nabii Mungu alitumia punda kuzuia upumbavu wa nabii