# katika mwezi wa tano, siku ya saba ya mwezi Huu ni mwezi wa tano wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya saba ikaribu na mwezi wa Saba kwenye kalenda ya Kaskazini. # mwaka wa kumi na tisa Hii ni namba ya mpangilio ya namba 19. # Nebuzaradani Hili ni jina la mtu. # Kama kwa kuta zote zilizozunguka Yerusalemu, yote "Hivi ndivyo ilivyotokea kwa kuta zote zilizoizunguka Yerusalemu: yote" # ambaye alikuwa chini ya "ambaye alikuwa akifuata maagizo ya"