# Maelezo ya Jumla: Msimuliaji anaeleza kuhusu kile alichofanya mfalme Amazia baada ya baba yake Mfalme Yoashi kuuawa. # Ila hakuwaweka wana wa wauaji kwenye kifo Mfalme Amazia hakuwaagiza watumishi wake kuwaua watoto wa watu waliomuua baba yao. "Lakini hakuwaambia watumishi wake kuwatekeleza hao watoto wa maafisa" (UDB) # Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya wazazi wao "Watu wasiwaue mababa kwa ajili ya dhambi za watoto wao, na wasiwaue watoto kwa ajili ya dhambi za wazazi wao" # kila mtu atauawa kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe "kila mtu atakufa kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe" # Aliwaua Hapa "Yeye" inarejea kwa jeshi lake. "Jeshi la Amazia liliuawa" au " Maaskari wa Amazia waliuawa" (UDB) # maaskari elefu kumi "maaskari 10,000" # Bonde la Chumvi Hili ni jina la mahali panapoonyesha kusini mwa Bahari mfu. # pia aliichukua Sela katika vita Hapa "Yeye" inarejea jeshi lake. "Jeshi la mfalme Amazia liliuchukua mji wa Sela # Sela ... Yoktheeli Waliupa mji wa Sela. Jina jipya lilikuwa Yoktheeli.