# karibu na mwaka wa ishirini na tatu wa Mfalme Yoashi mwaka wa tatu wa Mfalme Yoashi*** - "wakati Yoashi alipokuwa mfalme kwa miaka ishirini na tatu" # Kwa nini hujakarabati kitu chochote kwenye Hekalu? Yoashi anauliza hili swali kuwakemea makuhani. "Mlitakiwa muwe mmekarabati hekalu!" # wapatie wale ambao wanweza kufanya ukarabati. "kulipa watenda kazi watakaofanya ukarabati"