# Maelezo ya Jumla: Hii ni hesabu ya kile kilichotokea kwa Ahazia, mfalme wa Yuda, baada ya Yehu kuua Yoramu. # alipoliona hili "alipoona kilichotokea kwa Yoramu" # Bethi Hagani ... Guri ... Ebleamu ... Magido Haya ni majina ya mahali # mahali pa kupandia Guri Neno "kupandia" linamaanisha walikuwa wakipanda juu ya kilima wakiwa wanasafiri juu ya barabara ya Guri. "juu ya barabara ya kupanda juu kwenda Guri" # baba zake "babu zake"