# Alikuwa amevaa kanzu yenye nywele Maana ziwezekanazo ni 1) hii ni sitiari inayomzungumzia yeye kuwa na mvi sana kana kwamba nywele zake zilikuwa kanzu. "Nguo zake zilikuwa zimetengenezwa kwa nywele za mnyama"