# Sentensi Unganishi Paulo anahamisha somo kutoa katika utoaji kwenda kwenye mamlaka yake ya kufundisha kama anavyofanya. # kwa unyenyekevu na upole wa Kristo Neno " uvimilivu" na : upole" ni majina yaliyofupishwa, na yanawea kusemwa hivi: " Mimi ni mnyenyekevu na mpole kama nifanyavyo hivyo, kwa sababu Kristo amenifanya kuwa hivyo" # Anayesadikimkuwa "anayefikiri kuwa" # tunaishi kwa jinsi ya mwili. Neno "mwili" ni neno linalosimama kuelezea asili ya dhambi ya mwanadamu.