# utii wenu ninyi nyote Hili jina "utii" linaweza kuelezwa pamoja na tendo "tii". # mlivyomkaribisha kwa hofu na kutetemeka Neno "hofu" na "kutetemeka"hueleza maana ileile na kusisitiza ongezeko la hofu. # kwa hofu na kutetemeka. Maana zaweza kuwa )" kwa hofu kubwa kwa Mungu ) au kwa hofu kubwa kwa Tito.