# Taarifa za jumla: Hilkia alikuwa kuhani na Shefank alikuwa mwandishi, yaani mtu aliyekuwa na kazi ya kuandika mambo mbali mbali yamhusuyo Mungu. # Walipoileta fedha ambayo ilikuwa imeletwa kwenye nyumba ya Yahwe. "Wasimamizi walipokuwa wanaipokea fedha kwenye hekalu" # Watumishi wak wanafanya kila kitu walichokabidhiwa. "Kila kitu ambacho uliwapa jukumu la kukifanya"