# Mwana wa Kenaani. Zedekia aalikuwa mmoja wa manabii wa uongo. # Pembe za chuma. Hii inamaana ya pembe za ng'ombe (kambaku) lakini zilizotengenezwa kwa chuma. # Mtawasukuma Waaramu hadi waangamie." "Mtawashinda". # Yahwe ameutia kwenye mkono wa mfalme. "Yahwe atawapa ushindi"