# 1 Timotheo 05 Maelezo kwa ujumla ### Dhana muhimu katika sura hii #### Heshima na adabu Paulo anawahimiza Wakristo wachanga kuwaheshimu na kuwaonyesha adabu Wakristo wazee. Mila huwaheshimu na kuwaonyesha adabu watu wazee kwa njia tofauti. #### Wajane Nyakati za zamani katika Mashariki ya Karibu, ilikuwa ni muhimu kuwasaidia wajane kwa vile hawakuwa na uwezo wa kujipatia chakula. ## Links: * __[1 Timothy 05:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../04/intro.md) | [>>](../06/intro.md)__