# Kauli unganishi Paulo anamtia moyo Timotheo kuombwa kwa ajili ya watu wote. # Awali ya yote "Kitu cha muhimu zaidi" au "Kabla ya kitu chochote" # Nakuomba "Nakusihi" au "Nakuomba" # Heshima njia ambayo watu wanaweza kutuheshimu. Iliyoainishwa na "Utauwa", Hii ni njia ambayo watu wengine watamheshimu Mungu na kututii sisi.