# Ndugu hapa "ndugu" inamaanisha mkristo mwenzako # Tunawatia moyo na kuwasihi Neno "sisi" linawaelezea Paulo, Silvanus na Timothy lakini sio waamini wa Thesalonike. Neno "kutia moyo" na "kusihi" inamaana moja. Paulo aliyatumia ili kusisitiza ni kwa jinsi gani wanawatia moyo waamini. # Mlipokea maelekezo toka "mlifundishwa na" # Lazima mtembee Hapa neno "kutembea" inaelezea namna ambavyo mtu anatakiwa kuishi.