# Taarifa ya jumla: Daudi anakubali zawadi za Abigaili na anakubali kufanya kama alivyoshauriwa. # kwa hakika asinge salia hata mtoto mmoja wa kiume kwa Nabali "Nisingemuachia Nabali hata mtoto mmoja mwamaume" # akavipokea kutoka mkononi mwake "akakubali zawadi zote ambazo aliletewa" # nimeisikiliza sauti yako "nimesikiliza ulichoniambia nifanye" au "nitafanya kama ulivyonishauri"