# hivyo jina lake likapata heshima kubw Hapa "jina" ni msamiati kwa Daudi. Hii inaweza kuelezwa katika fomu harisi. AT "ili watu wamheshimu sana Daudi"